Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri katika utajiri?” Jee ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata utajiri?
Siri kubwa ya mafanikio ya utajiri ni kujifunza elimu ya namna ya kutafuta mtaj na kuweza kusimamia vyema mtaji unaopatikana , kuwekeza kuwa na busara kwa namna ambayo daima panakuwa na ziada na faida.
Inabidi utambue pia elimu hii haifundishwi darasani ila wanayo watu wachache na kila anaye itumia humsaidia kufikia mafanikio katika maisha. kwa bahati nzuri napenda kuwaelesha vijana wenzangu juu ya siri ya utajiri na mafanikio
- Siri ya kwanza ya kuelekea mafanikio
- Siri ya pili ya kuelekea kwenye utajiri ni kujifunza na kujenga tabia ya kuweka akiba
kujifunza kuweka akiba vyema na kusimamia vyema matumizi yako ya pesa ,kutunza akiba kutakusaidia kupata ziada
- Siri ya tatu ni kuwekeza fedha hizo za akiba katika vitega uchumi ambavyo vinazalisha faida endelevu.
- Siri ya nne ni kujifunza namna ya kufanya biashara na kuanzisha biashara yako ili iwe indelevu
No comments:
Post a Comment