Monday, 9 November 2015

hizi ni faida za kufanya mazoezi uboreshe afya na maisha yako

1. Mazoezi huboresha uwezo wa ubongo kuhifadhi kumbukumbu.

2. Mazoezi hupunguza msongo wa mawazo.
3. Mazoezi hukufanya uchangamke na kuwa shupavu.

4. Mazoezi huboresha ufahamu wako, uwezo wa kuelewa na kufikiri mambo katika mazingira yanayokuzunguka

5. Mazoezi huimarisha moyo hivyo huepusha maradhi yatokanayo na mapigo mabaya ya moyo. (Body exercise prevents and reduces cadiovasicular diseases)

6. Mazoezi humfanya mtu ajiamini kwa kupunguza stress, tension, wasiwasi n.k

7. Mazoezi hupasha mwili joto hivyo husaidia kuzuia na kupunguza baridi.

8. Mazoezi husaidia kuweka sawa kiwango cha cholesterol na mafuta yaliyopo mwilini. (Physical exercise burn more calories)


9. Mazoezi hushusha kupanda kwa shinikizo la damu. (high blood pressure)

10. Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata baadhi ya maradhi ya saratani. (Reduces risk of getting breast cancer and colon cancer)

11. Mazoezi humsaidia mtu kuondokana na baadhi ya matatizo ya akili.

12. Mazoezi huongeza hamu ya mtu kutaka kula.

13. Mazoezi hupunguza uzito wa ziada wa mwili na kufanya mwili wako kuwa mwepesi.


Kwa ujumla mwili wako uliumbwa kwa ajili ya kufanyakazi (manual labour) kama vile kusukuma,kuvuta, kubeba, kutembea, kuruka,kuimba, kucheza, kusakata rhumba,kuinama, kuinuka, kukimbia, kukusanya,kupanda (climb) kuwinda nk.Tunapofanya kazi yoyote kimwili ubongohuweza kutoa aina za kemikali(endocrines) ambazo hutuwezesha kuji-balance na kutupa hisia za kuwa wellbeing.Unajua kuna watu wabishi inawezekanana wewe msomaji ni mmoja wao, hivi nilini umefanya zoezi? na kwa nini hufanyimazoezi?

KAMA UNACHOCHOTE CHA KUCHANGIA,AU TANGAZO USISITE KUTUANDIKIA KUPITIA barakamuss75@gmail.com au  whatsup +255754251804
   

karibu comments,like, vijana wanahitaji maoni yako welcome all 

No comments:

Post a Comment